People
-

Ushiriki mdogo wa wapiga kura wakati Tanzania inapiga kura bila upinzani
Idadi ndogo ya wapiga kura imeonekana katika vituo vya kupigia kura jijini Dar es Salaam leo Jumatano, wakati ambapo wapinzani wakuu wa Rais Samia Suluhu Hassan wengine wakiwa gerezani na wengine wamezuiwa kugombea.
-

Polisi:Kuna watu wanaandaa taarifa za upotoshaji kuleta taharuki
Taarifa ya Jeshi la Polisi imesema kuwa baadhi ya taarifa hizo zimeandaliwa kwa uangalifu ili kuzalisha taharuki, ikiwemo kuchukua matukio yaliyotokea katika nchi nyingine, kuyatengeneza upya, kisha kuyaunganisha na sauti za Kiswahili zenye lafudhi ya…
-

Watanzania wajiandaa kupiga kura kesho
Tume zote mbili INEC kwa Tanzania Bara na ZEC kwa Zanzibar zimeahidi kufanya uchaguzi ulio huru, wa amani na unaozingatia sheria. Mashirika ya kiraia na waangalizi wa kimataifa pia wanatarajiwa kufuatilia mchakato huo unaotazamwa kama…














