People
-

Kesi ya Lissu yaahirishwa kufuatia kifo cha Msajili wa Mahakama Kuu
Kesi hiyo, ambayo leo inachukua siku ya saba tangu ianze kusikilizwa kwa hatua ushahidi imekuwa ikivuta hisia za wananchi na wadau wa sheria, ilianza kusikilizwa majira ya saa tatu asubuhi ambapo Kahaya alianza kutoa ushahidi…
-

Nchi sita zaitaka Madagascar kufanya mazungumzo na waandamanaji
Kisiwa hicho cha Bahari ya Hindi kilikuwa kinangoja uteuzi wa waziri mkuu mpya baada ya Rais Andry Rajoelina kuvunja baraza lake lote la mawaziri Jumatatu, hatua aliyochukua kutuliza maandamano yaliyoshika kasi tangu Septemba 25 kutokana…
-

Waandamanaji wa Madagascar waendelea licha ya kufutwa kwa serikali
Waandamanaji nchini Madagascar wameitisha maandamano mapya leo Jumanne, siku moja baada ya Rais wa nchi hiyo Andry Rajoelina kuvunja serikali yake kwa lengo la kutuliza ghasia zilizosababisha vifo vya watu 22, kwa mujibu wa Umoja…














