People
-

Christians Begin 40-Day Lent Season: What Does It Really Mean?
Lent, which begins on Ash Wednesday is a season for penance, reflection, and fasting to prepare Christian for the holy week in the month of April.
-

Japan kuongeza ‘umri wa idhini’ kutoka miaka 13 hadi 16
Japan inapanga kuongeza umri wa ridhaa ya ngono kutoka miaka 13 hadi 16. Pendekezo hili liko katika kifungu cha marekebisho ya sheria za uhalifu wa ngono, ambayo iliidhinishwa na kikosikazi cha Wizara ya Sheria. Umri…
-

Tanzania yaidhinisha mradi wa bomba la mafuta wenye thamani ya dola bilioni 3.5
Bomba hilo lenye urefu wa kilomita 1,443 litasafirisha mafuta ghafi kutoka Ziwa Albert kaskazini magharibi mwa Uganda hadi bandari ya Tanzania
-

Watu milioni mbili wanaweza kuathirika na kimbunga Freddy kikipiga Madagascar
Wataalamu kutoka Ofisi ya taifa ya Majanga wametabiri kuwa kimbunga hicho kitakumba mikoa tisa nchini huo.
-

Muuguzi wa Hospitali ya Entebbe akamatwa kwa madai ya kuwabaka wagonjwa
Kutesa Denis aliwatambua waathiriwa wake kutoka wadi ya Magonjwa ya Wanawake na kisha kuwatia dawa inayoshukiwa kuwa chloroform kabla ya kuwabaka
-

Mwili Wa Aliyepigania Uhuru Nchini Kenya Dedan Kimathi Upo Wapi?Familia Yapaza Sauti.
Familia ya mmoja ya waliopigania Uhuru nchini Kenya Dedan kimathi sasa inaitaka serikali ya Rais Wiliam Ruto kuwasaidia ili wapate mabaki ya mpendwa wao ili wakati mke wake Mukami Kimathi atakapofariki atazikwa kando yake. Wakizungjmza…
-

Uganda says will not renew mandate for UN rights office
The move means that the rights monitor’s Kampala office will close down when its authorisation expires this year
-

Earthquake kills more than 4,800 in Turkey, Syria
The first massive 7.8-magnitude quake struck early Monday
-

Raila Odinga ashinikiza Tume ya Uchaguzi (IEBC) Kuondolewa
Odinga sasa anaitaka tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini kenya IEBC kuondolewa na kisha kubuniwa kwa mfumo mpya wa uchaguzi
-

Daktari wa Shirika la Afya Duniani aliyetekwa nyara nchini Mali ameachiliwa
Haikuwa wazi ni nani aliyemteka daktari







