Politics
-

Rwanda, mwenyeji wa mkutano wa Jumuiya ya Madola CHOGM 2022
Rwanda inajiandaa kuwakaribisha viongozi wa mataifa 54 kwa ajili ya Mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Jumuiya ya Madola Ijumaa katika mji mkuu, Kigali.
-

UN: Watoto ni kati ya watu 13 waliouawa katika machafuko ya DR Congo wiki hii
Mapigano yameongezeka katika miezi ya hivi karibuni baada ya waasi wa M23 kuishutumu serikali kwa kushindwa kuheshimu makubaliano ya mwaka 2009 ambapo jeshi lilipaswa kuwajumuisha wapiganaji hao kwenye jeshi.
-

Mwanamfalme Charles atoa heshima kwa wahanga wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda
Viongozi wa mataifa ya Jumuiya ya Madola wanatarajiwa mjini Kigali katika siku zijazo kwa mkutano wa jumuiya hiyo yenye wanachama 54 ya makoloni ya zamani ya Uingereza.
-

Upinzani wa Afrika Kusini waitaka FBI kuchunguza kashfa ya wizi katika shamba la Ramaphosa
Ramaphosa anashutumiwa kwa kuficha polisi na mamlaka ya ushuru wizi wa pesa kutoka kwa nyumba yake ya kifahari ya shambani katika mkoa wa kaskazini wa Limpopo.
-

Wakazi wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wakataa wazo la jeshi la kikanda
Kwa wengi katika kanda hiyo, haikuwa wazi jinsi jeshi lolote jipya la kikanda lingeweza kufanikiwa pale ambapo MONUSCO ilishindwa.
-

Nigeria: Wasichana wawili wa Chibok waliotekwa nyara waachiliwa huru miaka minane baadae
Makumi ya wanamgambo wa Boko Haram walivamia shule ya bweni ya wasichana ya Chibok mwaka 2014 na kuwapakia wanafunzi 276, wenye umri wa miaka 12-17, wakati huo kwenye lori katika tukio la kwanza la utekaji…
-

Rais wa Malawi amvua mamlaka naibu wake kwa kuhusika na ufisadi
Kwa mujibu wa katiba ya Malawi, Chakwera hawezi kumsimamisha au kumwondoa Chilima kwa sababu ni afisa aliyechaguliwa na raia
-

Viongozi wa Afrika Mashariki wakubaliana kuwepo kwa jeshi la kikanda DR Congo
Viongozi wa Afrika Mashariki walikubaliana Jumatatu kutuma kikosi cha kikanda kujaribu kumaliza mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na kutoa wito wa kusitishwa mara moja kwa mapigano.
-

Kenya yaandikisha idadi ndogo ya vijana katika kura za mwezi Agosti
Idadi ya wapiga kura vijana waliojiandikisha katika uchaguzi wa Agosti nchini Kenya imepungua tangu uchaguzi uliopita miaka mitano iliyopita, tume ya uchaguzi IEBC
-

China offers to mediate Horn of Africa disputes
“I am ready to provide mediation for the peaceful settlement of disputes, based on the will of the countries in this region,” ~ Xue Bing, Beijing’s first special envoy for the Horn of Africa.







