Umoja wa Afrika wampongeza Mutharika wa Malawi kwa kushinda uchaguzi
Mwanasiasa huyo mkongwe, ambaye aliwahi kushika madaraka kuanzia mwaka 2014 hadi 2020, amechaguliwa tena kwa kura karibu asilimia 57 ili kuongoza taifa hilo lenye watu milioni 21 wengi wao wakiwa maskini.