Social Issues
-

Mahakama Kuu kusikiliza maombi ya Habeas Corpus ya John Heche
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa CHADEMA, Wakili Gaston Garubindi, maombi hayo yamesajiliwa na kupangwa mbele ya Jaji Obadia Bwegoge.
-

ACT Wazalendo yashinikiza uchunguzi wa Kimataifa dhidi ya mauaji ya waandamanaji
Taarifa hiyo ya ACT Wazalendo ambayo imetolewa leo Alhamisi Novemba 6, 2025, imeeleza kuwa matukio hayo si uvunjifu wa haki za binadamu tu bali pia mamlaka zimekosa utu kwa kutozingatia misingi ya utawala bora.
-

Mwabukusi: Kumtuhumu Heche Kwa Ugaidi Ni Kuitia Aibu Taaluma Ya Sheria
Kiongozi huyo wa TLS alidai kuwa Heche alikamatwa na kuzuiliwa kinyume cha sheria, na kwamba wakati wa tukio hilo, vyombo vya dola vilikuwa.
-

Samia Peke Yake? Uchaguzi wa Kwanza Tanzania Uliokosa Wapinzani Wakuu
Tanzania inapiga kura leo, Oktoba 29, 2025, katika uchaguzi mkuu unaoonekana kumwendea Rais Samia Suluhu Hassan, anayewania muhula wa pili kupitia CCM. Uchaguzi huu umechochea mjadala mkali kuhusu uhuru wa kisiasa na haki za binadamu,…













