Social Issues
-

Masahibu ya Mpinzani Mkuu Wa Kagame, Victoire Ingabire! Kwa nini Kakamatwa?
Ingabire aliwahi kuhukumiwa kifungo cha miaka minane gerezani mwaka 2012 kwa makosa yaliyohusisha “kudharau mauaji ya kimbari” na “kutishia usalama wa taifa.” Hukumu hiyo ilitokana na hotuba aliyotoa aliporejea Rwanda kutoka uhamishoni, ambapo alitaka kutambuliwa…
-

Maandamano Yageuka Sinema Ya Kutisha Nairobi! Wahuni Wavamia Ghafla
Baadhi ya wahuni hao walikuwa wamejihami kwa marungu na visu, na waliripotiwa kuwahangaisha raia na waandamanaji.
-
Siku 68 za Lissu gerezani, aeleza masaibu anayopitia
Licha ya kutohukumiwa, Lissu amedai amekuwa akishikiliwa kwenye eneo maalum la wafungwa wanaosubiri kunyongwa (death row) ndani ya Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam.
-

Kenyan Human Rights Defenders Demand the Arrest of Eliud Lagat Over Ojwang’s Murder Probe
The Kenya Human Rights Commission and other watchdogs are urging the Independent Policing Oversight Authority (IPOA) to act swiftly, warning that public trust in law enforcement is eroding fast.













