Social Issues
-

From Mathare Slums to A Renowned Activist, The Inspiring Journey of Rachael Mwikali
Her journey has not been easy, it’s a story of resilience, determination, and a deep love for her community.
-

Kabendera akusudia kukata rufaa kesi yake dhidi ya Vodacom
Katika kesi hiyo Kabendera aliyewakilishwa na Wakili Peter Madeleka alikuwa akiituhumu Vodacom kufanikisha kukamatwa kwake akieleza kama ‘kutekwa’ na hatimaye kufunguliwa kesi hiyo ya uhujumu Uchumi mwaka 2019.
-

Death toll from Tel Aviv attack rises to seven
A man wounded in a shooting and stabbing attack in the Israeli city of Tel Aviv has died, the medical centre where he was being treated said Wednesday, bringing the number of fatalities up to…
-

Lissu kuisthaki kampuni ya Tigo na Serikali ya TZ katika Mahakama za Kimataifa kwa kuvujisha taarifa zake
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema anakusudia kuishtaki kampuni ya Tigo na Serikali ya Tanzania katika mahakama ya Uingereza kufuatia kampuni hiyo kushirikiana na Serikali katika kutoa taarifa zake na kumfatilia hadi kusababisha kushambuliwa…
-

Tanzanian Government Restores Delisted Villages in Ngorongoro Ahead of Elections
The villages were initially removed as part of a broader government move announced on August 2, 2024.
-

Marekani yatoa neno matukio ya utekwaji nchini Tanzania, yataka tume huru kufanya uchunguzi
Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umeungana na raia wengine wa taifa hilo kushtumu mauaji ya mwanasiasa wa chama cha upinzani Chadema Ali Mohammed Kibao.
-

Ali Kibao azikwa, wananchi wataka Waziri wa Mambo ya Ndani ajiuzulu
Leo, Septemba 9,2024 mwili wa Ali Kibao, kada maarufu wa chama cha Chadema ambaye alifariki baada ya kutekwa umezikwa huku umati mkubwa wa watu umejitokeza kushuhudia safari yake ya mwisho iliyojaa huzuni ya kutafakarisha
-

Kesi ya afande anayedaiwa kutuma vijana kumbaka binti mkazi wa Yombo kuunguruma leo
Kesi ya afande anayedaiwa kuwatuma vijana kubaka kwa kikundi na kumwingilia kinyume na maumbile binti mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es salaam, Fatma Kigondo inakuja leo baada ya mahakama kutoa hati ya wito kwa…









