Taifa Stars kuikabili The Cranes ya Uganda leo
Timu ya Taifa nchini Tanzania Taifa Stars inatarajiwa kushuka dimbani leo nchini Misri kuikabili The Cranes (Uganda) katika mchezo wa tatu wa Kundi F wa kuwania kufuzu fainali za Mataifa ya Africa (AFCON) mwaka 2023 nchini Ivory Coast.