Mwakinyo kutoonekana kwenye ulingo wa ngumi ndani ya mwaka mmoja
Mwakinyo amepewa adhabu hiyo baada kugomea kupanda ulingoni September 29, 2023 katika pambano lake dhidi ya Julius Indonga kutokea Namibia kwa madai ya Promota kukiuka baadhi ya makubaliano yao..