Rais Ruto Avunja Mikataba ya Adani Group Kutokana na Tuhuma za Ufisadi
Ruto alieleza kuwa kuna ushahidi wa kuaminika kutoka kwa mashirika ya uchunguzi ya kitaifa na washirika wa kimataifa.
Ruto alieleza kuwa kuna ushahidi wa kuaminika kutoka kwa mashirika ya uchunguzi ya kitaifa na washirika wa kimataifa.
The High Court has suspended the implementation of the agreement BETWEEN KETRACO and Adani due to concerns over secrecy, public participation, and constitutional compliance
Nchini Kenya, Adani iko katika mazungumzo na kampuni ya kusambaza umeme nchini humo kwa makubaliano ya kujenga nyaya za umeme zenye thamani ya dola milioni 736. Pendekezo la kundi hilo la kuendesha uwanja wa ndege wa kitaifa wa jomo kenyata wa taifa hilo katika mji mkuu wa Nairobi, limezua pingamizi kali kutoka kwa umma na kufunguliwa mashtaka mahakamani
Mgomo huo umelemaza shughuli katika viwanja vyote vya ndege hapa nchini, huku Katibu Mkuu wa chama hicho cha KAWU Moss…