ATCL yapata hasara ya bilioni 60
-

Kamati ya PAC Tanzania yabaini hasara ya bilioni 60 ATCL
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Shirika la Ndege (ATCL) lilipata hasara ya shilingi bilioni 60.24 kwa mwaka wa fedha 2019 /2020.







