WHO: Athari kubwa ya janga la UVIKO 19 huenda ikaisha ifikiapo katikati ya mwaka huu
Idadi ya maambukizi mapya ya kila siku duniani ilipungua kwa wiki ya pili mfululizo, ikipungua kwa 17%
Idadi ya maambukizi mapya ya kila siku duniani ilipungua kwa wiki ya pili mfululizo, ikipungua kwa 17%
Kufikia sasa nchi wanachama 36 wamechanja chini ya 10% ya watu wao na wanachama 88 wamechanja chini ya 40%
“Nimefurahi kuwa Israeli inaweza kuchangia na kuwa mshirika katika kutokomeza janga hili ulimwenguni,” Waziri wa Mambo ya nje Yair Lapid alisema.
Visa vipya vya UVIKO 19 vimepungua barani Afrika kwa 35% hadi visa 74,000 katika wiki ya mwisho ya mwezi Septemba.