DCI Ramadhani Kangai

  • Lissu: Kingai Amesema Hawezi Kunitetea

    Lissu: Kingai Amesema Hawezi Kunitetea

    Kwa mujibu wa Lissu, baada ya mazungumzo hayo, Kingai alimweleza kuwa hayuko tayari kutoa ushahidi kwa upande wa utetezi, akisema yuko upande wa watu wanaotamani Lissu apatikane na hatia na atafurahi kusikia hilo.

  • DCI Kingai Kuja Kumtetea Lissu Ijumaa?

    DCI Kingai Kuja Kumtetea Lissu Ijumaa?

    Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Ramadhani Kingai, anatazamiwa kutoa ushahidi wake wa utetezi dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, siku ya Ijumaa, Septemba 18, 2026.