Roman Abramovich: Bilionea mmiliki wa Chelsea ahangaika kuokoa himaya yake
Uamuzi wa serikali ya Uingereza kufungia mali yake unalemaza shughuli za Klabu ya Soka ya Chelsea, kiungo muhimu cha utajiri wa Abramovich, na kutoa pigo lingine kubwa kwa biashara yake.