Watu wenye silaha wameua takriban raia 20 nchini Mali
Afisa mmoja wa eneo hilo alilaumu mashambulizi hayo kwa wanajihadi na kusema idadi ya waliouawa walikuwa 24, akisema mauaji hayo yalitokea Ebak, takriban kilomita 35 kaskazini mwa Gao, mji mkuu wa mkoa huo.