Tanzania: Rais Samia Suluhu afanya mabadiliko katika jeshi la polisi
Ramadhani Kingai ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa upelelezi wa Makosa ya jinai nchini (DCI)
Ramadhani Kingai ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa upelelezi wa Makosa ya jinai nchini (DCI)
Kesi imepangwa kuanza Machi 4, wakati Mbowe na watuhumiwa wengine watakapowasilisha utetezi wao.
Kwa mujibu wa Waziri Ndalichako wanafunzi watakaotaka kurejea shule wataruhusiwa kufanya hivyo ndani ya miaka miwili baada ya kuwa nje ya mfumo rasmi
Sabaya na wenzake watatu wanatarajia kukata rufaa baada ya kutoridhishwa na hukumu iliyotolewa.