#KENYA: Mbio za Safari Rally zinafanyika wikendi hii jijini Naivasha, Ali Kiba naye atatumbuiza
Rais William Ruto alisema mashindano hayo ya 2023 ya WRC Safari Rally yaliyosubiriwa kwa hamu yatakuza utalii na kubuni fursa za kiuchumi
Rais William Ruto alisema mashindano hayo ya 2023 ya WRC Safari Rally yaliyosubiriwa kwa hamu yatakuza utalii na kubuni fursa za kiuchumi
Dereva wa safari rally nchini Kenya Maxine Wahome, alishtakiwa kwa shambulio siku ya Jumatano kufuatia kisa kilichomhusisha mpenzi wake na dereva mwenzake Asad Khan
Mashindano hayo yalianza Alhamisi na yatahitimishwa Jumapili, Juni 26. Jiji la Naivasha limeshuhudia ongezeko la wageni, wakiwemo wafanyabiashara wa ngono na kusababisha uhaba wa kondomu.