kenya
-

Kenya inasema tukio la uwanja wa ndege lilikuwa ni zoezi la dharura
Lengo la msingi la zoezi hilo lilikuwa kupima na kutathmini ufanisi wa taratibu za kukabiliana na dharura za uwanja wa ndege
-

#KENYA: Mwanafunzi wa chuo kikuu apoteza zawadi ya bilioni Sh2.3 kutoka kwa mpenzi wake wa Ubelgiji, kwa serikali
Jaji aliamuru kutaifishwa kwa fedha hizo kwa sababu chanzo cha pesa hizo kutoka kwa bilionea Marc De Mesel, hakikuwa kimeelezwa na kufichuliwa.
-

#KENYA: Watu 1,700 wamefariki katika ajali za barabarani tangu Januari – NTSA
Ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka jana, watu 1,756 walikuwa wamekufa katika barabara za nchi
-

Mheshimu Uhuru Kenyatta isipokuwa unataka kufia madarakani – Raila
Raila aliwakashifu viongozi kwa kuongoza kampeni ya kumdhalilisha Uhuru ilhali wanatarajia kupewa heshima mara watakapoondoka afisini.
-

Jaribu wengine sio mimi! Uhuru awakashifu wanasiasa
Kiongozi huyo wa chama hicho alisema kuwa Jubilee itasalia imara na kuungana kuwa kitu kimoja
-

The Great Eliud Kipchoge; honoured with the Princess of Asturias Award for Sports 2023
The jury values his status as a “world benchmark in athletics” and “best marathon runner of all time”.
-

Fake nails, fuel and influencers in Kenyan taxman’s sights
The public has until May 20 to comment on the finance bill before it is debated by lawmakers. If passed, it will need presidential approval to become law.
-

Kenya suspends two dozen officials over contaminated sugar
Sugar prices have soared in Kenya, with local media reporting that the retail price had risen by around a third in the last month to more than 400 shillings (about $3) for a two-kilo bag.
-

Idadi ya waliofariki katika madhehebu ya kidini nchini Kenya imeongezeka hadi 226
Nyaraka za mahakama zilizowasilishwa wiki jana zilisema baadhi ya maiti zilitolewa viungo vyao, huku polisi wakidai washukiwa walikuwa wakishiriki kwa lazima uvunaji wa viungo vyao.
-

Kenya and Somalia agree to phased border reopening
Kenya and Somalia have agreed to reopen their common border after more than a decade, Kenya’s interior minister said on Monday as ties warm between the two neighbours following years of tensions. The announcement came…







