Mbowe na wenzake walivyotoka kwenye kitanzi cha kesi ya Ugaidi
Ilikuwa inasubiriwa siku saa na dakika kuweza tu kujua hatma ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu, juu ya kupatikana kwa uhuru wao uliochukuliwa na dola.
Ilikuwa inasubiriwa siku saa na dakika kuweza tu kujua hatma ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu, juu ya kupatikana kwa uhuru wao uliochukuliwa na dola.
Mahakama hiyo Februari 18,2022 iliwakuta na kesi ya kujibu Mbowe na wenzake katika kesi ya ugaidi inayowakabili, hatua ambayo ilikuja baada ya upande wa mashtaka kufunga ushahidi wake kwa kuwaita mahakamani mashahidi 13 kati ya 24 iliokuwa imepanga kuwaita, huku ikitoa vielelezo 39.
Ni ushahidi wa DCI mstaafu Kamishna Robert Boaz, ambaye ndiye mlalamikaji katika kesi hiyo.
Mahakama itatoa uamuzi huo iwapo Mbowe ana kesi ya kujibu au la
Ni baada ya hali yake kiafya kutoimalika na kumfanya kushindwa kufika mahakamani
Shahidi wa pili katika kesi ya Uhujumu Uchumi yenye makosa ya Ugaidi ndani yake inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu leo ameileza mahakama jinsi ambavyo Mbowe alivyokua na mkakati wa kutaka kumdhuru aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole.
Mvutano umeibuka katika geti la kuingia Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi nchini Tanzania baada ya baadhi ya viongozi wa CHADEMA, waandishi wa haabri na wanachama wa chama hicho kuzuiwa kuingia ndani ya chumba cha Mahakama.