Maajabu msichana wa miaka 5 ajifungua mtoto wa kiume
Kisa kama cha Lina kinafahamika kama ‘precocious puberty’ ikimaanisha kuwa mtoto huanza kubalehe mapema kabla umri wa kawaida wa miaka 8 kwa wasichana na miaka 9 kwa wavulana.