LISSU AZUNGUMZA NA RAIS SAMIA
-

Lissu ataka ahakikishiwe usalama wake ili arudi Tanzania
Asema anahitaji kurudi nyumbani lakini kabla ya kurudi anahitaji Rais Samia, atoe kauli ya kumkaribisha ili amuondoe wasiwasi kutokana na mazingira alioyoondokea.







