Mlipuko Wa Ebola Wafika Bukavu Katika Eneo La Waasi Wa M23
Juhudi za kudhibiti mlipuko huu, ambao Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa dharura ya kimataifa, zimekwamishwa na mizozo ya muda mrefu mashariki mwa DRC, ikiwemo mapigano kati ya jeshi la serikali na waasi wa M23.