Mkuu wa jeshi la Sudan hatakutana na jenerali adui
Mkuu wa jeshi Abdel Fattah al-Burhan na makamu wake wa zamani Mohamed Hamdan Daglo, wamekuwa kwenye vita tangu Aprili 15 baada ya kutofautiana katika mzozo wa madaraka
Mkuu wa jeshi Abdel Fattah al-Burhan na makamu wake wa zamani Mohamed Hamdan Daglo, wamekuwa kwenye vita tangu Aprili 15 baada ya kutofautiana katika mzozo wa madaraka
In a statement, G7 foreign ministers meeting in Japan warned the fighting “threatens the security and safety of Sudanese civilians and undermines efforts to restore Sudan’s democratic transition”.
Darfur, ambayo imekumwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyozuka mwaka 2003, imeshuhudia ongezeko la vita na mauaji tangu Oktoba mwaka jana
Mapigano mapya yaliyozuka Alhamisi yameshuhudia makundi yenye silaha yakipigana katika milima ya Jebel Moon katika jimbo la Darfur Magharibi
Takriban watu 85 wameuawa na mamia kujeruhiwa na vikosi vya usalama wakati wa miezi minne ya maandamano ya kudai utawala wa kiraia na haki