Mwandishi wa Uganda aliyeteswa akimbia uhamishoni
Wakili alisema mteja wake alikuwa akitafuta matibabu nje ya nchi kutokana na majeraha aliyoyapata.
Wakili alisema mteja wake alikuwa akitafuta matibabu nje ya nchi kutokana na majeraha aliyoyapata.
Rukirabashaija alisema vifaa vya chuma vilitumika kumsababishia majeruhi. Alidai kudungwa sindano ya kitu kisichojulikana mara kadhaa kinyume na matakwa yake.
Mpaka huo ulifungwa Februari 2019 baada ya mvutano wa kisiasa kati ya Kigali na Kampala.
Rukirabashaija alishtakiwa Januari 11 kwa “jumbe za kuudhi” kutokana na msururu wa jumbe zake kwenye Twitter kumhusu Museveni na mwanawe Muhoozi Kainerugaba.
Kakwenza Rukirabashaija is accused of posting critical comments on social media about President Yoweri Museveni and his powerful son Muhoozi Kainerugaba.
Rukirabashaija ni mkosoaji mkubwa wa serikali ya Rais Yoweri Museveni,Rukirabashaija ni mkosoaji mkubwa wa serikali ya Rais Yoweri Museveni, alipata sifa kwa riwaya yake ya kejeli ya mwaka 2020, “The Greedy Barbarian” ambayo inaelezea ufisadi wa hali ya juu katika nchi ya kubuni.