Mwanzotv.com
-

Ushiriki mdogo wa wapiga kura wakati Tanzania inapiga kura bila upinzani
Idadi ndogo ya wapiga kura imeonekana katika vituo vya kupigia kura jijini Dar es Salaam leo Jumatano, wakati ambapo wapinzani wakuu wa Rais Samia Suluhu Hassan wengine wakiwa gerezani na wengine wamezuiwa kugombea.
-

Polisi:Kuna watu wanaandaa taarifa za upotoshaji kuleta taharuki
Taarifa ya Jeshi la Polisi imesema kuwa baadhi ya taarifa hizo zimeandaliwa kwa uangalifu ili kuzalisha taharuki, ikiwemo kuchukua matukio yaliyotokea katika nchi nyingine, kuyatengeneza upya, kisha kuyaunganisha na sauti za Kiswahili zenye lafudhi ya…
-

Watanzania wajiandaa kupiga kura kesho
Tume zote mbili INEC kwa Tanzania Bara na ZEC kwa Zanzibar zimeahidi kufanya uchaguzi ulio huru, wa amani na unaozingatia sheria. Mashirika ya kiraia na waangalizi wa kimataifa pia wanatarajiwa kufuatilia mchakato huo unaotazamwa kama…
-

Kesi ya Lissu:Hatima ya vielelezo vya video kesi ya Lissu kujulikana Jumatano
Lissu, ambaye anajitetea mwenyewe, anakabiliwa na shtaka la uhaini yanayodaiwa kutokana na matamshi aliyotoa Aprili 3,2025. Alikamatwa Aprili 9, 2025 mkoani Ruvuma na kisha kusafirishwa hadi Dar es Salaam, ambako anakabiliwa na kesi hiyo mbele…
-

Kesi dhidi ya vigogo wa Chadema yapigwa kalenda
Katika kesi hiyo, vigogo hao wa CHADEMA wanatuhumiwa kukiuka amri ya Mahakama Kuu iliyotolewa Juni 10, 2025, kufuatia uwepo wa kesi ya madai inayohusu usawa kwenye mgawanyo wa mali ndani ya CHADEMA, inayosikilizwa chini ya…
-

Mahakama Kuu yaidhinisha kiapo cha ziada kesi ya kutekwa kwa Polepole
Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imeridhia maombi ya mawakili wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kuwasilisha kiapo cha ziada katika shauri la maombi ya kutekwa kwa utaratibu wa kisheria…
-

Shahidi wa pili aeleza alivyotambua Jinai kwenye video ya Tundu Lissu
Shahidi wa kwanza alihitimisha ushahidi wake leo baada ya kuhojiwa kwa maswali ya nyongeza na jopo la mawakili wa Serikali
-

Lissu atumia saa 7 kumuhoji shahidi wa Jamhuri katika kesi ya uhaini
Katika mahojiano hayo, Lissu alitumia takribani saa saba kumuhoji Shahidi huyo kuanzia majira ya saa 3:30 mpaka saa 10, muda wote aliutumia kupima uhalali wa ushahidi wa shahidi huyo, akihusisha masuala mbalimbali kulinga na ushahidi…
-

Shahidi wa kwanza aanza kutoa ushahidi wake kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu
Shahidi huyo ambaye ni Kamishina Msaidizi wa Polisi (ACP) George Wilbart Bagemu, mwenye umri wa miaka 48, ambaye ni afisa mwandamizi wa Jeshi la Polisi mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka ishirini katika taaluma ya…








