Kenya Kuzindua Satelaiti Yake Ya Uchunguzi Wa Dunia
Satelaiti hiyo ya uchunguzi itatumika kutoa data kuhusu kilimo na usalama wa chakula, miongoni mwa maeneo mengine
Satelaiti hiyo ya uchunguzi itatumika kutoa data kuhusu kilimo na usalama wa chakula, miongoni mwa maeneo mengine
Kiongozi wa Chama cha Kitaifa cha Uskoti (SNP) ndiye Waziri wa Kwanza mwenye umri mdogo zaidi kuwahi kutokea na wa kwanza kutoka katika makabila madogo
Faki anaonyesha wasiwasi mkubwa juu ya ghasia, ambazo zimesababisha watu kupoteza maisha, uharibifu wa mali na kukatizwa kwa shughuli fulani za kiuchumi
Miaka Miwili ya Rais Samia Kwa Jamii ya kifugaji imekua ni kilio badala ya Furaha, tumenyanyaswa na kuumizwa na serikali yetu wenyewe
Maandamano yaliyopangwa ya Azimio yanaambatana na angalau maonyesho mengine 4 ‘yanayofanana’ katika nchi 4 tofauti za Afrika
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa takwimu hizo huku akielezea kuwa hazifurahishi
Costa Titch alitamba sana na “Big Flexa,” ambayo imetazamwa zaidi ya milioni 45 kwenye YouTube
Facebook owner Meta is working on a new “text sharing” social media platform
Wagombea 18 wanawania kiti cha Urais kumrithi rais anayeondoka Muhammadu Buhari, ila watatu pekee ndio wameonekana kuwa mibabe
Gavana wa Embu Cecily Mbarire ameteuliwa kama mwenyekiti wa chama cha United Democratic Alliance (UDA) Chake rais William Ruto.