One Kenya Alliance
-

Uhuru Kenyatta ajiuzulu kama Mwenyekiti wa Azimio la Umoja
Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta amejiuzulu kama Mwenyekiti wa baraza la Muungano wa Azimio la Umoja-One Kenya, akisema wakati umewadia kwa viongozi wapya kuchukua hatamu za kuongoza muungano huo. Katika waraka ulioandikwa tarehe 5 Oktoba, Uhuru…
-

Watu 17 wanakabiliwa na mashtaka ya kujaribu kuua kwa kushambulia helikopta ya Raila Odinga
Watu hao17 wanahusishwa na kisa cha machafuko ambapo helikopta iliyokuwa imembeba Odinga ilipigwa mawe







