Waasi wawaua raia 50 nchini Burkina Faso
Burkina Faso imetikiswa na uvamizi wa wanajihadi tangu 2015, huku vuguvugu hilo likihusishwa na Al-Qaeda na kundi la Islamic State.
Burkina Faso imetikiswa na uvamizi wa wanajihadi tangu 2015, huku vuguvugu hilo likihusishwa na Al-Qaeda na kundi la Islamic State.
Kiongozi wa chama tawala cha zamani nchini Burkina Faso alikamatwa siku ya Jumapili baada ya kukosoa hali ambayo rais wa zamani Roch Marc Christian Kabore amewekwa na serikali tawala
Ouedraogo mwenye umri wa miaka 53, ambaye uteuzi wake ulikuja kwa amri iliyotiwa saini na Rais Damiba, ameongoza kampuni ya ushauri na ukaguzi wa hesabu tangu 2007.
Siku ya Jumanne, Damiba alitia saini kinachojulikana kama katiba ya mpito ambayo inasema uchaguzi utafanyika miezi 36 baada ya kuapishwa kwake.
On January 24, disgruntled officers led by Damiba forced out the country’s elected president, Roch Marc Christian Kabore.
Damiba ataapishwa Februari 16 katika mji mkuu wa Ouagadougou.
Ghasia zilizotokana na mapinduzi zisababisha vifo vya zaidi ya watu 2,000 na kuwalazimu takriban milioni 1.5 kukimbia makazi yao.
Asilimia 40 ya wakazi wa Burkinabe wanaishi maisha ya uchochole kulingana na Benki ya Dunia.
Burkina Faso inaungana na nchi nyingine mbili za ECOWAS — Mali na Guinea — ambapo kumekuwa na mapinduzi katika kipindi cha miezi 18 iliyopita.