Jezi ya Maradona ya ‘hand of God’ aliyovaa katika Kombe la Dunia yauzwa kwa mnada kwa $9.3 milioni
Wazabuni saba walishindania vazi hilo katika mnada ulioanza Aprili 20 na kumalizika Jumatano asubuhi, Sotheby’s ilisema.
Wazabuni saba walishindania vazi hilo katika mnada ulioanza Aprili 20 na kumalizika Jumatano asubuhi, Sotheby’s ilisema.
Kwa mujibu wa sheria za Fifa, mbali na rais wa nchi, ni wachezaji waliokuwa sehemu ya timu iliyoshinda Kombe la Dunia pekee ndio wanaruhusa kushika kombe hilo.
Onyesho la kwanza la wimbo huo litafanyika usiku wa leo kabla ya droo ya makundi inayotarajiwa kuanza saa 19:00 kwa saa za Qatar.
Droo ya Ijumaa itafanyika katika Kituo cha Maonyesho na Mikutano cha Doha, huku washindi wa zamani wa Kombe la Dunia kama vile Cafu na Lothar Matthaeus wakiwa kati ya wasaidizi wa droo.
Hili ni Kombe la Dunia la kwanza kufanyika Mashariki ya Kati na litaanza Novemba 21 na fainali inatarajiwa kufanyika Desemba 18.
Siku ya Jumanne, Pharoahs wa Misri walikosa nafasi ya kucheza Kombe la Dunia nchini Qatar baada ya kushindwa na Senegal katika Uwanja wa michezo wa Diamniadio huko Dakar.
Ghana ilibandua nje wenyeji kwa kulazimisha sare ya 1-1 na kushinda mchezo wa hatua ya muondoano na kuondoa matumaini ya Nigeria ya kucheza Kombe la Dunia baadaye mwaka huu.
Dimba la Kombe la Dunia litaanza Novemba 21 hadi Desemba 18.