Rais Saye Zerbo

  • Mapinduzi ya serikali za mataifa ya Afrika

    Mapinduzi ya serikali za mataifa ya Afrika

    Kutoka Afrika magharibi, Burkina Faso imekuwa na mapinduzi mengi yaliyofaulu. Serikali za Burkina Faso zimepinduliwa mara saba na jaribio moja ambalo halikufaulu.