Mijadala Kinzani Yatanda Kenya Kuhusu Chanjo Ya Mifugo
Kulingana na Rais Ruto, mpango huo unatazamia kuimarisha mazao ya wakulima ili kuendana na viwango vya kimataifa wakati wa kuuza bidhaa za nyama, maziwa na ngozi katika soko za kimataifa.
Kulingana na Rais Ruto, mpango huo unatazamia kuimarisha mazao ya wakulima ili kuendana na viwango vya kimataifa wakati wa kuuza bidhaa za nyama, maziwa na ngozi katika soko za kimataifa.
Mahakama Kuu chini Kenya imesitisha utekelezaji wa mkataba huo kutokana na wasiwasi wa usiri, ushirikishwaji wa wananchi, na kufuata katiba.
Rais Ruto hajazungumzia hadharani kuhusu kutimuliwa kwa Naibu wake Rigathi Gachagua.