Rais wa Marekani adhamiria kuongeza msukumo wa kuiwekea vikwazo zaidi Urusi
Rais wa Marekani Joe Biden na viongozi wengine wakuu wa nchi na serikali kutoka kambi ya nchi za Magharibi wanakutana hii leo kujadili namna ya kuongeza shinikizo dhidi ya Rais Vladmir Putin wa Urusi.