Kampuni ya Tigo yadaiwa kutoa taarifa za mwanasiasa wa Tanzania Tundu Lissu kabla ya jaribio lake la kuuawa
Inadaiwa kwamba Tigo ilitoa taarifa za simu na eneo la Lissu kwa mamlaka za Tanzania kwa muda wote wa saa katika wiki zilizotangulia kabla ya shambulio hilo lililotokea tarehe 7 Septemba 2017.