Mahakama yahalalisha mkataba wa bandari, walalamikaji kupinga uamuzi huo mahakama ya rufaa.
Uamuzi huo umesomwa na jopo la majaji watatu likiongozwa na Jaji Dunstan Ndunguru, akishirikiana na majaji Mustafa Ismail na Abdi Kagomba.
Uamuzi huo umesomwa na jopo la majaji watatu likiongozwa na Jaji Dunstan Ndunguru, akishirikiana na majaji Mustafa Ismail na Abdi Kagomba.
Huduma hiyo mpya imeanza kutolewa hivi karibuni na Wataalam wa Radiolojia tiba wakiongozwa na daktari bingwa na mbobezi wa radiolojia tiba Dkt. Latifa Rajab kutoka Taasisi ya Saratani Ocean Road baada ya daktari huyo kurejea kutoka masomoni.
Maofisa hao wamepanda kizimbani leo Agosti 9 kusikiliza shauri la kesi hiyo wakidaiwa kutenda mauaji ya Mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamis (25) mkazi wa Nachingwea mkoani Mtwara.
Tanzania imetia saini mkopo wenye masharti nafuu wa shilngi bilioni 69.9 (dola milioni 30) na Mfuko wa Maendeleo wa Adu Dhabi kwa ajili ya ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme kutoka Benaco hadi Kyaka mkoani Kagera.
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC), kwa kushirikiana na Chama cha Watu wenye Ualbino Tanzania (TAS), kimelaani vikali kitendo kilichotokea Agosti 6, 2023 katika siku ya Simba Day, kinachohusisha matumizi ya mtu mwenye ualbino kwa mtindo unaofanana na mtu aliyevaa nepi iliyochafuka jukwaani mbele ya umati wa maelfu ya watu kwenye Uwanja wa Taifa akiwa nusu uchi.
Jaji Maghimbi alisema ameshangazwa na mwenendo wa FCC ambayo imepewa jukumu la kusimamia ushindani katika uchumi kwa manufaa ya mlaji, kupora mamlaka ya Mahakama katika uhakiki kwa kuendelea kubaini ni nini [Mahakama. ] tayari ilikuwa imepiga maruf
Katia ripoti yake iliyotolewa leo HRW imesema mamlaka ya Tanzania hadi sasa imewashikilia au kuwatishia takriban watu 22 tangu Juni 10, 2023, wakiwemo waandamanaji, baada ya kukosoa Bunge la Tanzania kuridhia kwa makubaliano ya usimamizi wa bandari za Tanzania.
Kamanda ya Polisi wa mkoa wa Pwani, Pius Lutumo amesema ajali hiyo imetokea majira ya saa nane usiku wa kuamkia hii leo na kuongeza kuwa watu wote waliofariki dunia walikuwa ndani ya Prado
Waziri wa Viwanda na Biashara nchini Tanzania, Dkt Ashatu Kijaji amewataka Maafisa Biashara wote nchini humo kukagua bei ya Sukari duka kwa duka na atakae kutwa na bei zaidi ya shilingi 3,200 achukuliwe hatua za kisheria.
Shughuli ya uokozi katika ajali ya boti mbili zilizozama ndani ya Ziwa Victoria na kusababisha vifo vya watu 14 wilayani Bunda imekamilika baada ya miili yote kuopolewa.