TCRA: Watumiaji wa fedha kwa njia ya mtandao wameongezeka
Taarifa ya utendaji kazi ya Mamlaka hiyo kwa mwaka 2022/23 inaonyesha kuwa akaunti za pesa kwa simu za mkononi zimeongezeka na kufikia watumiaji 39,590,502 mwezi Septemba mwaka huu kutoka watumiaji 35,201,960 walioripotiwa Mwezi Januari mwaka 2022.