Wanaoanzisha migogoro mipakani nchini Tanzania wapewa onyo
“Ukifanya vitendo viovu utajiingiza kwenye migogoro, kuwa makini usijeingia kwenye mgogoro kwa kutumwa tu, tunazo sheria za nchi.”
“Ukifanya vitendo viovu utajiingiza kwenye migogoro, kuwa makini usijeingia kwenye mgogoro kwa kutumwa tu, tunazo sheria za nchi.”
Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Prof. Hamisi Masanja Malebo, ametoa kauli hiyo leo Julai 27, 2022 mjini Morogoro wakati akizungumza na waandishi wa habari.
Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mkoa ya Rufaa Ligula, Dk. Clemence Haule, amesema majeruhi watatu kati ya hao saba wamepelekwa Muhimbili na wengine wanne wamepelekwa hospital ya Rufaa Ndanda.
Hapo jana Viongozi wa Tucta wakiwa jijini Dodoma walisema kuwa leo watawasilisha serikalini hoja zao kwa maandishi na wakasema hawataondoka Dodoma hadi suala hilo litakapofikia tamati au kuwa na sura nzuri ya utekelezaji.
Taarifa hiyo imetolewa leo na Meneja wa TMDA, Kanda ya Ziwa Magharibi Ofisi za Geita, Dk Edgar Mahundi wakati akikabidhi dawa hizo kwa mkuu wa mkoa wa Geita mbele ya Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa.
Waziri wa Maliasili na Utalii nchini humo, Balozi Pindi Chana alisema hayo jana jijini Arusha wakati akifungua kikao cha wadau wa utalii kujadili changamoto na kutoa ushauri ili kuboresha mazingira ya sekta hiyo.
Ajali hiyo imetokea leo Jumanne Julai 26, 2022, baada ya basi lililokuwa limebeba wanafunzi wa Shule ya Msingi ya King David iliyopo Manispaa ya mtwara Mikindani kutumbukia shimoni.
Waziri Ummy ameyasema hayo leo wakati wa uzinduzi wa bodi hiyo itakayoongozwa na Mwenyekiti wake, Rosemary Slaa.
Aidha, imeelezwa kiwango cha sasa cha ulaji wa mayai kwa mtu mmoja kwa mwaka ni 106 wakati mapendekezo ya FAO kiasi kinachotakiwa ni 300.
Akitoa taarifa hiyo kwa vyombo vya habari Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye ulemavu), Prof. Joyce Ndalichako amesema, kufuatia taarifa hiyo wapo baadhi ya madereva ambao wamekuwa wakipotosha taarifa hiyo na kuchochea ama kuhamasisha madereva wenzao kugoma.