Majeruhi 7 wa ajali ya School Bus wahamishiwa Muhimbili na Ndanda
Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mkoa ya Rufaa Ligula, Dk. Clemence Haule, amesema majeruhi watatu kati ya hao saba wamepelekwa Muhimbili na wengine wanne wamepelekwa hospital ya Rufaa Ndanda.