Tanzania
-

Binti wa miaka 15 apigwa na mumewe kisa kumwaga dawa ya mbuzi
Mesoni inadaiwa alipigwa baada ya kufungwa kwenye mti, kisha kuchapwa fimbo na mume wake, Namendea Lesiria kwa kushirikiana na rafiki yake, ambaye jina halijafahamika kwa kosa la kumwaga dawa ya mbuzi.
-

Wabunge tisa kuiwakilisha Tanzania bunge la Afrika Mashariki.
Wabunge hao wamechaguliwa leo Alhamisi, Septemba 22, 2022 bungeni jijini Dodoma.
-

Tanzania and Mozambique sign agreements to fight terrorism
Mozambique and Tanzania have signed two cooperation agreements in Maputo aimed at fighting terrorism and crime along their shared border.
-

Dk.Mollel:Hakuna Ebola Tanzania
Serikali ya Tanzania imesema hakuna mgonjwa wa Ebola aliyeripotiwa nchini humo huku ikiwashauri wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa huo.
-

Ofisa wa Polisi atiwa mbaroni kwa kuwaachia watuhumiwa wa kesi ya uhujumu uchumi
Jeshi la Polisi mkoani Tanga limemkamata ofisa wake anayedaiwa kuwaachia huru watuhumiwa wa uhujumu uchumi waliokamatwa na mali za magendo zenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 1.2.
-

Tanzanian government cancels levies on electronic transactions
Minister of Finance and Planning, Dr Mwigulu Nchemba announced the reduction of some of the charges levied on some transactions in the country.
-

Mshtakiwa azimia mahakamani kesi ya Zumaridi
Tukio la mshtakiwa huyo namba 38, Mariam Julius kudondoka mahakamani lilitokea leo Septemba 19, 2022 asubuhi baada ya mshtakiwa huyo kuanza kupiga kelele kisha kudondoka na kuanza kutoa mapovu mdomoni.
-

Watu sita wapoteza maisha kwenye ajali mkoani Manyara
Kamanda wa Polisi wa Mkoani humo, George Katabazi amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo akisema gari hilo lilikuwa linatoka Matui kwenda Kondoa mkoani Dodoma.
-

Uber and Bolt to face regulatory hurdles in Kenya
Kenya’s National Transport and Safety Authority (NTSA) is now replaying the Tanzania script with a regulation that enforces an 18% commission cap for all ride-hailing companies in the country. This time, Uber is not quiet;…
-

Adaiwa kujinyonga baada ya kutuhumiwa kuiba shilingi 10,000 ya mumewe
Kamanda Mwaibambe amesema marehemu alikutwa amejinyonga kwa kutumia kipande cha kanga, ambapo marehemu mwili wake ulikutwa unaning’inia kwenye mti karibu na nyumbani kwao.







