Tanzania
-

Watu 38 wathibitika kuugua ugonjwa Surua nchini Tanzania
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Alhamisi Septemba 15,2022 Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amezitaja halmashauri hizo kuwa ni Bukoba yenye sampuli tatu, Wilaya ya Handeni sampuli nne, Kilindi tatu, Mkuranga nne, Kigamboni…
-

Mwanafunzi wa chuo auawa Dar kwa kushambuliwa na wanaosadikiwa kuwa ni “Panya Road”
Taarifa iliyotolewa jana Jumatano Septemba 14,2022 na Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Wiliam Mkonda imedhibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo Septemba 14 saa 2:30 usiku maeneo ya Kawe mzimuni, kikundi cha wahalifu wakiwa na…
-

Ahukumiwa kunyongwa kwa kumuua mamamkwe
Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi Mkoa wa Geita mwenye mamlaka ya ziada, Cleofas Waane, baada ya upande wa mashtaka kuthibitisha kosa hilo pasipo kuacha shaka yoyote.
-

Ushirikina watajwa kuwa chanzo cha mauaji nchini Tanzania.
Serikali ya Tanzania imesema sababu za wananchi nchini humo kujichukulia hatua mkononi ni wivu wa mapenzi, migogoro ya ardhi, ulevi na imani za kishirikini.
-

Masauni: Suala la tendo la ndoa ni haki lakini si haki ya msingi tunayotoa kwa wafungwa
Masauni ameyasema hayo leo bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la mbunge wa Viti maalum(CCM) Bahati Keneth Ndingo, aliyetaka kujua ni lini serikali itaanza kuruhusu wafungwa kupata haki ya faragha na wenza wao
-

Uber/Bolt kurudisha tena huduma nchini Tanzania
Mkurugenzi Mkuu wa Latra, Habibu Suluo ametoa taarifa hiyo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha.
-

Sabaya afikishwa Mahakamani akiwa peke yake.
Sabaya amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, mbele ya Hakimu Salome Mshasha akikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi namba mbili ya mwaka 2022.
-

Wanaosambaza maudhui yenye viashiria vya ushoga nchini Tanzania waonywa
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari nchini humo, Nape Nnauye amesema Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imebaini kuwa baadhi ya watazamaji wa maudhui ya kulipia mtandaoni wamekuwa wakitazama na kusambaza maudhui hayo zikiwemo…
-

DC akiri kupokea tozo za miamala ya simu kwa ajili ya sekta ya afya
Mkuu wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Festo Kiswaga amesema wamepokea shilingi bilioni mbili kutoka serikalini zilizotokana na tozo za miamala ya simu kwa ajili ya sekta za afya na elimu.
-

TCRA yatoa sababu ya kuitoza faini Zama Mpya Tv
Akizungumza na waandishi wa habari leo Dar es Salaam, Mwenyekiti wa kamati hiyo, Habi Gunze, alisema Agosti 12, mwaka huu, TCRA ilitoa leseni kwa Zama Mpya Tv na Agosti 28 mwaka huu walichapisha taarifa za…







