Tanzania
-

Tanzania yaondoa ulazima wa watu kuvaa barakoa baada maambukizi kupungua
Waziri wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu ametoa taarifa hiyo leo wakati akitoa mrejesho wa tathmini iliyofanyika siku chache tangu Rais Samia Suluhu Hassan kuagiza wizara itoe mwongozo kuhusu uvaaji wa barakoa.
-

Queen Elizabeth doctors ‘concerned’ for her health
Fears grew on Thursday for Queen Elizabeth II after Buckingham Palace said her doctors were “concerned” for her health and recommended that she remain under medical supervision. The 96-year-old monarch has been dogged by health…
-

CCM yataka serikali iangalie upya sakata la tozo
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa iliyokutana jana Septemba 7,2022, imetoa maelekezo sita kwa serikali, kuhusu malalamiko ya utitiri wa kodi hususani za miamala ya simu na ya kibenki,ikiwemo kutazama…
-

Washtakiwa wanne kesi ya Sabaya waachiwa huru
Agosti 3 mwaka huu washtakiwa wanne waliokuwa katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Sabaya ambao ni Silvester Nyegu, John Aweyo, Nathan Msuya na Antero Assey waliandika barua ya kuomba kufanya makubaliano na Mkurugenzi wa Mashtaka…
-

Tanzania freezes exports permits for Kenyan traders
Tanzania has frozen the issuance of new maize export permits to Kenyan traders, a move that could worsen the shortage of the product.
-

LHRC yafungua kesi ya kupinga mifumo iliyotumika kupitisha Tozo
Aidha LHRC inaomba mahakama kuweka zuio la muda la kuendelea kutumika kwa kanuni hizo hadi pale kesi ya msingi itakapofikia mwisho.
-

NHIF yapewa siku 14 kupeleka mpango wa kuboresha takwimu za matibabu
Amesema hayo leo jijini Dodoma wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari na kueleza kuwa kumekuwepo na vitendo vya udanganyifu kwenye, mfuko huo, hali inayochangia kuyumbisha mfuko.
-

Asilimia 99 ya Watanzania wamehesabiwa sensa ya watu na makazi
Mtakwimu Mkuu wa Serikali nchini Tanzania, Dkt Albina Chuwa hii leo amewaambia wanahabari kwamba hatua hiyo iliyobaki itakwenda kukamilika hadi tarehe 5 2022 September na zoezi hilo litafanyika kwa njia ya simu zilizotolewa zitatumika kuwafikia…
-

Mwanafunzi afariki dunia baada ya kupigwa na mwanafunzi mwenzake
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Geita, Ally Kitumbu amethibitisha tukio hilo alipozungumuza na waandishi wa habari na kumtaja mtuhumiwa wa tukio kuwa ni mwanafunzi wa darasa la saba, shule ya msingi Mkombozi iliyopo mjini Geita,…
-

Tanzania kutoa chanjo ya polio awamu ya tatu nchi nzima
Waziri wa Afya nchini humo Ummy Mwalimu amesema utoaji wa chanjo hiyo ni kufuatia mlipuko wa ugonjwa huo uliotokea katika nchi jirani ya Malawi mnamo Februari 17, 2022 na kisha nchini Msumbiji mnamo Mwezi Mei…







