Tanzania
-

Ofisa Mipango nchini Tanzania alawiti mtoto wa miaka mitano ndani ya gari
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, ACP Ali Makame amewaambia wanahabari kuwa, tukio hilo lilitokea Agosti 13, 2022, majira ya saa moja na nusu jioni katika Kijiji na Kata ya Kibaoni, Tarafa ya Mpimbwe, Wilaya…
-

Aliyejifanya mkurugenzi wa usalama wa taifa ahukumiwa miaka mitano jela.
Hakimu Mkazi wa Wilaya ya Mlele, Bilal Ahmed, alitoa hukumu hiyo Agosti 22 baada ya kesi namba 90 ya mwaka 2022 kusikilizwa mahakamani hapo na mshtakiwa kukutwa na hatia.
-

Serikali ya Tanzania yawachinjia nyama Wahadzabe ili washiriki zoezi la Sensa
Akizungumza mjini Karatu, wakati Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella, amesema waliamua kuwachinjia jamii ya Wahadzabe, pundamilia wawili na nyumbu wawili, pamoja na kuwapa ndizi mbivu, ili wawepo katika makazi yao kwa ajili ya kuhesabiwa.
-

Bilioni 17 zatolewa kuimarisha huduma ya mama na mtoto nchini Tanzania
Benki ya Dunia imetoa msaada wa shilingi bilioni 17 kwa serikali ya Tanzania, kwa ajili ya kuimarisha huduma ya mama na mtoto.
-

Mrema kuzikwa Agosti 25 kijijini kwao
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mtoto wa Mrema, Michael Mrema Maziko hayo yatatanguliwa na ibada ya mazishi siku ya Jumatano itakayofanyika katika kanisa Katoliki Parokia ya Salasala kabla ya kusafirishwa kwenda mkoani Kilimanjaro.
-

Augustine Lyatonga Mrema Mwanasiasa aliyetamba kwenye ulingo wa siasa na kuacha gumzo kila mahali
Mrema ambaye hivi sasa hayupo katika uso wa dunia kufuati kifo chake kilichotokea Agosti 21,2022 katika hospitali ya Taifa Muhimbili nchini Tanzania alipokuwa amelazwa akipokea matibabu atakumbukwa kwa mengi hasa katika nguvu yake ya kujenga…
-

Waajiri wenye malimbikizo ya michango ya NHIF wapewa siku 11 kuyalipa
Taarifa kwa umma iliyotolewa leo Agosti 19, 2022 na Kitengo cha uhusiano NHIF imeeleza kuwa hatua zitachukuliwa kwa waajiri ambao hawatakamilisha michango hiyo.
-

Kaya 25 kuwasili Msomera leo
Jumla ya kaya 25 za wananchi wa Ngorongoro mkoani Arusha, wanatarajiwa kupokelewa leo wilayani Handeni mkoani Tanga katika kijiji cha Msomera ikiwa ni muendelezo wa wale ambao wamekubali kuhama kwa hiari.
-

Ahukumiwa maisha jela kwa kumlawiti mjuukuu wake wa miezi sita
Hukumu hiyo imetolewa na hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya wilaya ya Babati Victor Kimario baada ya kusikiliza pande zote mbili na kujiridhisha pasipo na kutia shaka.
-

Chanzo cha ajali iliyoua watu watano mkoani Singida ni Mwendokasi
Ajali hiyo imetokea jana Jumatano Agosti 17, 2022 ambapo basi hilo lilikuwa linatoka Mwanza kwenda jijini Dar es Salaam.







