Tanzania
-

Dk Mpango alitaka jeshi la Polisi Tanzania kutowaonea raia
Ameyasema hayo leo Agosti 18 alipokutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania Inspekta Jenerali Camillus Wambura katika ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dar es Salaam.
-

Rais Samia aendelea kupigia chapuo lugha ya Kiswahili
Taarifa iliyotolewa leo na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus, mkuu huyo wa nchi yupo Jamhuri ya Demokrasia ya Congo kushiriki mkutano wa 42 wa nchi za Jumuiya hiyo.
-

Tanzania installs internet on Mount Kilimanjaro for Insta-ascents
Tanzania has installed high-speed internet services on the slopes of Mount Kilimanjaro, allowing anyone with a smartphone to tweet, Instagram or WhatsApp their ascent up the mountain
-

Masauni ataka uchunguzi kuhusu maiti zilizookotwa kwenye viroba
Maiti hizo ziliokotwa Agosti 11, 2022 zikiwa kwenye viroba katika kata ya Tunguli wilayani Kilindi mkoani Tanga na kupelekwa kuhifadhiwa katika Hospitali Teule ya Wilayani Kilindi.
-

Tanesco yasitisha kuzima mifumo ya Luku
Taarifa iliyotolewa asubuhi ya leo Jumatano na Meneja Mwandamizi wa Tehama wa shirika hilo, Cliff Maregeli alisema matengenezo hayo ya siku nne yalikuwa yaanze Agosti 22 – 25, 2022 kuanzia saa 4 usiku hadi saa…
-

Dereva wa dalala adaiwa kumuua mpenzi wake Dar
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumatano Agosti 16, 2022 na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, Jumanne Muliro imeeleza kuwa tukio hilo limetokea Agosti 16, maeneo ya Kimara Suka.
-

Kesi ya mauaji ya askari polisi yakwama kuendelea ikisubiri upelelezi
Katika kesi hiyo ya mauaji namba 11/2022, washtakiwa 10 kati ya 24 ni madiwani, yumo pia Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ngorongoro, Ndirango Laizer na wakazi wengine.
-

Mfumo wa ununuzi wa Luku kuzimwa kwa siku nne nchini Tanzania
Shirika la Umeme Tanzania limesema Wananchi nchini humo hawataweza kununua umeme kwa njia ya Luku kwa muda wa siku nne, Agosti 22 – 25, 2022 kuanzia saa 4 usiku hadi saa 1 asubuhi kutokana na…
-

Watu nane wafariki kwenye ajali iliyohusisha Lori na magari mengine mawili
Kamanda wa jeshi la Polisi mkoani humo, Urlich Matei amethibitisha kutokea tukio hilo akisema gari kubwa lililokuwa limebeba kontena la mchanga lilifeli breki na kuligonga basi la Super Rojas lililokuwa likitoka Mbeya kwenda Njombe.
-

Majaliwa: Sensa ni muhimu kwa wafanyabiashara kutathimini uwezo wao wa kibiashara
Ametoa kauli hiyo jana Jumatatu, Agosti 15, 2022, wakati akizungumza na wadau wa sekta binafsi juu ya umuhimu wa ushiriki wao kwenye Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika nchini Agosti 23, 2022 kwenye kikao kilichofanyika…







