Tanzania
-

Kifo cha Mwangosi kinavyozunguka kwenye vichwa vya Polisi Tanzania
Daudi Mwangosi aliuawa Septemba 2,2012 katika kijiji cha Nyololo mkoani Iringa, mbele ya Kamanda wa Polisi kipindi hicho mkoani humo Michael Kamuhanda, wakati polisi wapofika kwenye Ofisi ya CHADEMA ili kuwatawanya wasifungue tawi la chama…
-

Bwege kumpigia kampeni Raila Odinga kwenye uchaguzi mkuu Kenya
Uchaguzi wa Kenya unatarajiwa kufanyia Agosti 9 Mwaka huu,ambapo mpinzani mkubwa wa Raila Odinga katika Uchaguzi huo ni Naibu Rais Dk William Ruto.
-

Ashikiliwa na Polisi kwa kuwapora watalii kisha kuwatelekeza
Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi ACP Richard ThadeI Mchomvu alimtaja mtuhumiwa huyo kuwa ni Mohamed Aboud Mtoro (37), msukuma wa Darajabovu mkoani humo ambae alipora watalii waliotokea nchini…
-

Hakuna homa ya Nyani Tanzania
Julai 23 WHO ilitangaza kuwa homa ya nyani ni dharura ya afya ya umma duniani, hatua ambayo inalenga kuwezesha shirika hilo kuratibu na kushirikiana na nchi na wadau halikadhalika mshikamano wa kidunia.
-

IEBC inashikilia uamuzi wa kutumia rejista ya kielektroniki ya wapiga kura nchini Kenya, ikisubiri uamuzi wa mahakama
Akihutubia wanahabari katika ukumbi wa Bomas of Kenya siku ya Jumanne, kamishna wa IEBC Abdi Guliye alisisitiza kuwa watakuwa wakitumia sajili ya kidijitali na tayari wamepeleka vifaa hivyo katika vituo vingi vya kupigia kura vilivyowekwa…
-

Maumivu ya bei ya mafuta nchini Tanzania huku gharama za maisha zikiongezeka
Aidha, katika taarifa iliyotolewa jana Jumanne Agosti 2, 2022 na Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), bei ya rejareja jijini Dar es Salaam baada serikali kuweka ruzuku ya shilingi bilioni 100, itakuwa shilingi…
-

HRW: Kutowajibishwa kwa Polisi nchini Kenya kunaongeza hatari ya vurugu za uchaguzi nchini humo
Human Rights Watch imesema mamlaka imeshindwa kuchunguza tuhuma za ukatili wa polisi au kufanya mageuzi katika idara hiyo, na kuongeza wasiwasi wa kutokea kwa ghasia iwapo matokeo ya uchaguzi yatapingwa.
-

Tanga Kinara ukusanyaji mapato mikoa ya Tanzania Bara
Waziri Bashungwa amesema kimkoa, Mkoa wa Dar es Salaam umeongoza kwa kukusanya kiasi cha Sh bilioni 167.5, ukifuatiwa na mkoa wa Dodoma Sh bilioni 89.4 na mkoa wa Pwani uliokusanya Sh bilioni 48.7.
-

Watu wawili wamefariki kwenye maandamano ya kupinga gharama kubwa za umeme nchini Afrika Kusini.
Wakaazi waliokasirishwa na gharama ya juu ya huduma za kimsingi walifunga barabara kwa matairi yanayoungua na kuchoma moto jengo la manispaa katika kitongoji cha Thembisa kaskazini mashariki mwa kitovu cha kifedha cha Johannesburg.
-

Hakimu Ndeyekobora aondolewa kusikiliza kesi ya Mfalme Zumaridi
Kuondolewa kwa hakimu huyo huenda kukawa ni majibu ya maombi yaliyowasilishwa Julai 28,2022 na mshtakiwa namba moja katika shauri hilo Mfalme Zumaridi kupitia kwa mawakili wake wakimtaka, Ndyekobora kujiondoa kusikiliza shauri hilo kwa kile walichodai…







