Tanzania
-

Baba ambaka na kumlawiti mtoto wake wa miaka 12 mara nne kwa siku tofauti
Hassan ametiwa hatiani kwenye kesi hiyo namba 70/2021 na Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro katika hukumu iliyosomwa na Hakimu Charles Woiso.
-

Ufilipino yaweka msisitizo wa kutojiunga tena ICC.
Majaji wa ICC waliidhinisha uchunguzi kamili kuhusu kampeni ya kupambana na dawa za kulevya Septemba mwaka jana, wakisema inafanana na shambulio lisilo halali na la kimfumo dhidi ya raia
-

Majaliwa: Nyongeza ya mishahara inawahusu zaidi wanaolipwa kima cha chini
Majaliwa ametoa ufafanuzi huo leo Ijumaa Julai 29, 2022 wakati akitoa tamko la Serikali kuhusu nyongeza ya mishahara, ikiwa ni siku chache baada ya watumishi kulalamikia nyongeza hiyo na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania…
-

Ahukumiwa miaka 30 jela kwa kufanya ngono na mwanawe
Akitoa hukumu hiyo, hakimu mkazi mwandamizi wa mahakama ya wilaya ya Nzega, Godfrey Rwekite alisema kutokana na ushahidi kukamilika, mahakama imeridhia kumuhukumu kwa Masanja Shija kutumikia kifungo hicho cha miaka 30 jela ili liwe fundisho…
-

Hali ya Sabaya yasababisha kesi inayomkabili kuahirishwa
Awali wakili wa Sabaya, Fridolin Bwemelo aliieleza mahakama hiyo kuwa Sabaya amefanyiwa upasuaji mkubwa wa kichwa kutokana na uvimbe aliokuwa nao na kwamba anahitaji kupata uangalizi wa karibu.
-

Homa ya Ini tishio Afrika
Takwimu za Shirika la Afya Duniani kupitia taarifa ya mwaka 2021 zinaonesha kati ya watu milioni 296 duniani wenye homa sugu ya ini asilimia 66 ya maambukizi hayo yapo barani Afrika. Katika kupambana na hali…
-

Wivu wa mapenzi wamfanya mwalimu kumnyonga mkewe na kisha yeye kujinyonga
Akizungumza na waandishi wa habari leo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Ali Makame amesema marehemu ni mkazi wa Tanga na chanzo cha tukio hilo ni wivu wa kimapenzi.
-

Wanaoanzisha migogoro mipakani nchini Tanzania wapewa onyo
“Ukifanya vitendo viovu utajiingiza kwenye migogoro, kuwa makini usijeingia kwenye mgogoro kwa kutumwa tu, tunazo sheria za nchi.”
-

Baraza la Tiba Asili lapiga marufuku utumiaji wa dawa ya Mkongo
Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Prof. Hamisi Masanja Malebo, ametoa kauli hiyo leo Julai 27, 2022 mjini Morogoro wakati akizungumza na waandishi wa habari.
-

Majeruhi 7 wa ajali ya School Bus wahamishiwa Muhimbili na Ndanda
Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mkoa ya Rufaa Ligula, Dk. Clemence Haule, amesema majeruhi watatu kati ya hao saba wamepelekwa Muhimbili na wengine wanne wamepelekwa hospital ya Rufaa Ndanda.







