Tanzania

  • Tanzania yapokea chanjo nyingine za UVIKO-19

    Tanzania yapokea chanjo nyingine za UVIKO-19

    Chanjo hizo zinapokelewa wakati mpaka kufikia Julai 12, 2022 Watanzania 10,511,804 walikuwa wamekamilisha dozi ya Uviko-19 huku Tanzania ikiwa imepokea jumla ya dozi 21,226,520.

  • Nape:Mapitio ya Sheria,Sera za Habari yanaendelea.

    Nape:Mapitio ya Sheria,Sera za Habari yanaendelea.

    Amesema ili kuhakikisha mazingira hayo yanaimarika, tayari mchakato wa kupitia Sheria, Kanuni na Sera ya Habari umeanza na unaendelea vizuri.

  • Jaji Mkuu: Tumieni usuluhishi kupunguza migogoro

    Jaji Mkuu: Tumieni usuluhishi kupunguza migogoro

    Alitaka watumishi wa kituo hicho kupatiwa mafunzo ili kuweza kuongeza uelewa zaidi juu ya suala hilo, ambapo Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mustapher Siyani aliahidi kulifanyia kazi.

  • Tanzania probes mystery illness after three die

    Tanzania probes mystery illness after three die

    Symptoms of the illness include fever, headaches, fatigue and nosebleeds, the government’s chief medical officer Aifello Sichalwe said in a statement.

  • Baadhi ya mikoa kukosa umeme kwa zaidi ya saa 8

    Baadhi ya mikoa kukosa umeme kwa zaidi ya saa 8

    Taarifa iliyotolewa na shirika hilo imesema kuwa, upungufu huo umesababisha jumla ya megawati 91 kutokua kwenye mfumo wa usafirishaji umeme hivyo baadhi ya maeneo yatakosa nishati hiyo kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 12 jiioni.

  • NEC/ZEC: Changamoto zinzotokea wakati wa uchaguzi zinachangiwa na vyama vya siasa

    NEC/ZEC: Changamoto zinzotokea wakati wa uchaguzi zinachangiwa na vyama vya siasa

    Aidha, NEC na ZEC zimesema zipo tayari kupokea mabadiliko ya kisheria ambayo yatapendekezwa katika kuzifanya taasisi hizo kuepushwa na  malalamiko. 

  • Watu watano wafariki kwenye ajali mkoani Simiyu

    Watu watano wafariki kwenye ajali mkoani Simiyu

    Ajali hiyo ilihusisha magari madogo mawili ya abiria aina ya Toyota pro box na Toyota wish ambayo yanayofanya safari zake kati ya mji wa Bariadi na Lamadi wilayani Busega ambayo yaligongana uso kwa uso.

  • Ugonjwa wa ajabu waibuka mikoa ya kusini mwa Tanzania

    Ugonjwa wa ajabu waibuka mikoa ya kusini mwa Tanzania

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema katika mikoa ya kusini mwa Tanzania kumeibuka ugonjwa wa ajabu, ambapo watu wengi wanavuja damu puani mfululizo na kuanguka.

  • Pacha mmoja aliyetanganishwa afariki dunia   

    Pacha mmoja aliyetanganishwa afariki dunia   

    Taarifa iliyotolewa na Hospitali hiyo leo Julai 12, 2022 na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma, Aminiel Aligaesha imeeleza kuwa hali ya Neema ilibadilika ghafla akiwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU).

  • Mkurugenzi Dar asimamishwa kazi kwa ubadhirifu wa fedha.

    Mkurugenzi Dar asimamishwa kazi kwa ubadhirifu wa fedha.

    Watumishi hao wamesimamishwa kupisha uchunguzi wa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za serikali zaidi ya shilingi bilioni 10 zilizokusanywa na hazikuwasilishwa benki kama sheria inavyoelekeza.