Tanzania
-

TUCTA kuwasilisha kwa maandishi hoja ya nyongeza ya mishahara leo
Hapo jana Viongozi wa Tucta wakiwa jijini Dodoma walisema kuwa leo watawasilisha serikalini hoja zao kwa maandishi na wakasema hawataondoka Dodoma hadi suala hilo litakapofikia tamati au kuwa na sura nzuri ya utekelezaji.
-

TMDA yakamata aina 34 ya dawa zikiuzwa kiholela
Taarifa hiyo imetolewa leo na Meneja wa TMDA, Kanda ya Ziwa Magharibi Ofisi za Geita, Dk Edgar Mahundi wakati akikabidhi dawa hizo kwa mkuu wa mkoa wa Geita mbele ya Kamati ya Ulinzi na Usalama…
-

Tanzania kupokea watalii milioni tano 2025.
Waziri wa Maliasili na Utalii nchini humo, Balozi Pindi Chana alisema hayo jana jijini Arusha wakati akifungua kikao cha wadau wa utalii kujadili changamoto na kutoa ushauri ili kuboresha mazingira ya sekta hiyo.
-

Wanafunzi 8 wafariki kwenye ajali mkoani Mtwara, Rais Samia atuma salam za pole
Ajali hiyo imetokea leo Jumanne Julai 26, 2022, baada ya basi lililokuwa limebeba wanafunzi wa Shule ya Msingi ya King David iliyopo Manispaa ya mtwara Mikindani kutumbukia shimoni.
-

Waziri wa Afya nchini Tanzania atoa siku 67 MSD ifumuliwe
Waziri Ummy ameyasema hayo leo wakati wa uzinduzi wa bodi hiyo itakayoongozwa na Mwenyekiti wake, Rosemary Slaa.
-

Ulaji wa nyama kwa Watanzania bado mdogo
Aidha, imeelezwa kiwango cha sasa cha ulaji wa mayai kwa mtu mmoja kwa mwaka ni 106 wakati mapendekezo ya FAO kiasi kinachotakiwa ni 300.
-

Madereva wanaohamasisha mgomo nchini Tanzania wapewa onyo
Akitoa taarifa hiyo kwa vyombo vya habari Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye ulemavu), Prof. Joyce Ndalichako amesema, kufuatia taarifa hiyo wapo baadhi ya madereva ambao wamekuwa wakipotosha taarifa…
-

Zaidi ya watu milioni 50 kukabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula katika nchi za Afrika
Taarifa hiyo imeendelea kueleza kuwa takriban watu 300,000 wanatarajiwa kukabiliwa na Janga la njaa la juu ngazi ya 5 (IPC Awamu ya 5*) nchini Somalia na Sudan Kusini mwaka huu 2022, huku Hatari ya Njaa…
-

CAF Awards Winners
#Senegalese player who plays for #Tanzania’s Simba S.C, Pape Ousmane Sakho, won the Confederation of African Football (CAF)’s Goal of the Year award
-

Jenerali Mabeyo: Nimetoka jeshini, moyo wangu bado ni jeshi
Mabeyo ametoa kauli hiyo katika hafla ya kumuaga iliyofanyika jijini Dar es Salaam, leo Ijumaa, tarehe 15 Julai 2022, ikiwa ni wiki kadhaa tangu astaafu jeshi tarehe 30 Juni 2022.







