Tanzania
-

Court upholds Tanzania move to cordon off land to protect wildlife
A regional court on Friday ruled that Tanzania’s decision to cordon off land for wildlife protection was legal, dealing a blow to Maasai pastoralists
-

Tanzania; Darasa la saba kuanza mitihani yao ya mwisho kesho
Jumla ya watahiniwa 1,384,340 wanatarajia kufanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi utakaofanyika Oktoba 5 na 6 mwaka huu.
-

Tanzania yaweka mikakati ya kukabiliana Ebola
Maagizo hayo yametolewa siku nane tangu kutokea mlipuko wa ugonjwa huo Septemba 20, 2022 katika Wilaya ya Mubende nchini Uganda ambapo mpaka sasa tayari vifo 23 vimetokea na wagonjwa 43.
-

Museveni criticizes EU objections to East Africa oil project
Ugandan President Yoweri Museveni has criticized the European Union (EU) parliament for calling on his government to halt a strategic pipeline project with neighbouring Tanzania.
-

Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Japani Shinzo Abe amefanyiwa mazishi ya kitaifa hii leo.
Abe aliyefariki akiwa na miaka 67, alikuwa waziri mkuu wa Japan aliyekaa muda mrefu zaidi na mmoja wa watu wanaotambulika sana kisiasa nchini humo, anayejulikana kwa kukuza ushirikiano wa kimataifa na mkakati wake wa kiuchumi…
-

JTI kununua kilo milioni 30 za tumbaku Tanzania
Ahadi hiyo imetolewa jana Jumatatu, Septemba 26, 2022 na Rais na Mtendaji Mkuu wa JTI, Masamichi Terabatake mbele ya Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa, aliyetembelea ofisi zao, ili kuwahakikishia utekelezaji wa mazungumzo yaliyofanyika wakati…
-

Saratani ya mlango wa kizazi yaendelea kuwa tishio kwa nchi za Afrika.
Waziri Ummy amesema, miongoni mwa hatua ambazo zimechukuliwa kukabili ugonjwa huo, Serikali imeiomba jumuiya ya kimataifa kushiriki katika mapambano ya magonjwa yasiyo ya kuambukiza.
-

Ahukumiwa kuchapwa viboko 6 kwa kosa la ubakaji
Mahakama ya mkoa Manyara imemhukumu John Emmanuel (18) mkazi wa kijiji cha Malangi wilayani Babati kuchapwa viboko sita (6) baada ya kukutwa na kosa la ubakaji.
-

Watu 11 wameuawa na wezi wa mifugo kaskazini mwa Kenya
Takriban watu 11, wakiwemo polisi wanane na chifu wa eneo hilo, wameuawa kaskazini mwa Kenya na wezi wa mifugo
-

Bisimba:Serikali ingekuwa inafanya kila kitu hata asasi za kiraia zisingekuwepo
Dkt. Kisimba amesema, asasi za kiraia zina mchango mkubwa katika maendeleo ya mtu mmoja mmoja na hata kuisaidia serikali katika kuharakisha maendeleo kwa wananchi kwa kutekeleza majukumu ambayo pia yangeweza kufanywa na serikali.







