Tanzania
-

Tanzania yaanza mgao wa maji kutokana na ukame
Wakazi milioni 5.5 watakwenda bila maji ya bomba kwa saa 24 kwa siku mbadala, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema.
-

China yakanusha mipango ya kufungua vituo vya polisi Tanzania
Ubalozi wa China nchini Tanzania ulisema kuwa ni propaganda dhidi ya kukua kwa uhusiano wake kati ya Afrika na China unaoenezwa na vyombo vya habari vya magharibi
-

Ummy: Bima ya Afya kwa wote haitabagua
Waziri Ummy amesema hayo jana 18 Oktoba 2022 wakati akiwasilisha muswada huo mbele ya Kamati ya Kudumu ya huduma na Maendeleo ya Jamii kwenye kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Bunge jijini Dodoma.
-

Rais Samia aweka jiwe la msingi upanuzi wa bandari ya Ujiji na Kibirizi
Rais Samia ameweka jiwe hilo la msingi leo Jumanne ya Oktoba 18, 2022 ikiwa ni katika kuhitimisha ziara yake mkoani humo ambapo kabla ya uzinduzi huo tayari amefanya shughuli mbalimbali ikiwemo uzimaji wa majenereta baada…
-

23 Years later, the Mwalimu Julius Nyerere legacy lives on
Every year on the 14th of October, Tanzanians commemorate the death of the ‘Father of the Nation’, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, who was the first President of Tanzania.
-

Mbunge wa CCM afariki dunia
Mbunge wa Aman (CCM), Mussa Hassan Mussa amefariki dunia leo Alhamisi Oktoba 13, 2022 nyumbani kwake visiwani Zanzibar.
-

Kesi ya Padri anayedaiwa kumbaka mtoto wa 12 yakwama
Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Moshi na Mahakama ya Wilaya Moshi zimeahirisha kesi za ubakaji zinazomkabili Padri Sostenes Soka wa Kanisa Katoliki Parokia Teule ya Mtakatifu Deonis Aropagita hadi Oktoba 25 kwa madai ni mgonjwa.
-

Mwakyembe kuongza jopo la uchunguzi malalamiko ya mitihani ya Uanasheria
Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro amemteuwa Dk Harison Mwakyembe kuwa Mwenyekiti wa kamati ya watu saba ili kutafuta chanzo cha kufeli kwa wingi katika mitihani ya mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo (LST).
-

Makamba: Ni asilimia 8 tu ya Watanzania ndio wanaotumia nishati safi ya kupikia
Makamba ameyasema hayo leo Oktoba 12, 2022 alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari ambapo amesema zaidi ya Watanzania 33,000 hufariki kila mwaka kutokana kupumua moshi unaotokana na matumizi ya kuni na mkaa.
-

Prof. Makubi: Bima ya Afya kwa wote itatoa fursa kwa Mtanzania kutibiwa hospitali yeyote
Prof. Makubi amesema hayo, alipofanya ziara ya kukagua hali ya utoaji huduma katika Hospitali ya Mkoa ya Amana, ambapo alipata fursa ya kuongea Waganga Wafawidhi wa Hospitali za Amana, Mwananyamala, Temeke, Tumbi, Mbagala Rangitatu, Kigamboni…







