Tanzania
-

Rais Samia kufanya ziara ya siku nne mkoani Kigoma
Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu ziara hiyo, mkuu wa mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye amesema kuwa, ziara ya Rais Samia itaanzia wilayani Kakonko.
-

Tanzania yaitaka Jumuiya ya Kimataifa kusaidia mchakato wa kuwarudisha wakimbizi wa Burundi nchini kwao
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi nchini Tanzania, Mhandisi Hamad Masauni amezitaka Jumuiya ya Kimataifa na Washirika wa Maendeleo kusaidia mchakato wa kuwarudisha Wakimbizi wa Burundi kwa hiari nchini kwao kwa kuweka sawa mazingira…
-

Bado watoto wa kike wanakabiliwa na vikwazo katika safari yao ya kuelekea utuuzima.
Wasichana walio na ujana wana haki ya kuishi salama, kuelimika, na afya. Ikiwa wanaungwa mkono vyema wakati wa miaka ya ujana, wasichana wana uwezo wa kubadilisha ulimwengu – wote kama wasichana wenye uwezo wa leo…
-

Dkt. Tulia achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa kundi la Kanda ya Afrika ya Umoja wa Mabunge duniani.
Aidha kupitia nafasi hiyo atakuwa pia Mjumbe wa Kamati ya Uongozi ya IPU na Kamati ya Uongozi ya Makundi ya Kijiografia.
-

Serikali ya Tanzania yaanza kupitia sheria ya ndoa ya 1971
Waziri wa Maendeeo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum nchini Tanzania Dkt. Dorothy Gwajima amesema Serikali ya nchi hiyo kupitia Wizara za Kisekta imeanza mapitio ya sheria ya ndoa ya mwaka 1971 pamoja na…
-

Ruto ahitimisha ziara yake nchini Tanzania
Kwa ziara hiyo, Tanzania imekuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki kwa Rais Ruto kufanya ziara ya kikazi, na nchi ya tano kutembelea dunia tangu aapishwe Septemba 13 mwaka huu, ikitanguliwa na Uingereza, Marekani, Ethiopia na…
-

Ummy:Afya ya akili ni tatizo la kidunia
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya wa Tanzania Ummy Mwalimu, wakati wa kongamano la kwanza la kitaifa la afya ya akili ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya afya ya akili yanayoadhimishwa duniani…
-

Kesi ya Sabaya, upelelezi kukamilika ndani ya siku 90
Sabaya na wenzake wanne walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kwa mara ya kwanza Juni Mosi mwaka huu wakikabiliwa na mashitaka 7 ikiwemo uhujumu uchumi, ambapo leo Oktoba 10 anatimiza siku 132 akiwa mahabusu.
-

Vitendo vya ukatili vyaongezeka mkoani Katavi
Sababu za matukio hayo kuongezeka ni kupungua kwa utoaji elimu juu ya madhara ya ukatili na unyayasaji wa kijinsia kwa jamii.
-

Rais Samia,Ruto waagiza kuondolewa vikwazo 14 vya biashara
Rais Ruto amesema Mawaziri baina ya Kenya na Tanzania wanapaswa kufanyia kazi changamoto zilizobaki na kufikia mwishoni mwa mwaka huu changamoto zote zimetatuliwa.







